

Lugha Nyingine
Maandalizi yafanyika kwa Shughuli ya Kufunguliwa ya Urukaji wa Ndege ya Jeshi la Anga na Maonesho ya Urukaji wa Ndege ya Changchun 2025 (6)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 17, 2025
![]() |
Picha iliyopigwa Septemba 16 ikionesha maonesho ya urukaji wa ndege kwenye maandalizi ya Shughuli ya Kufunguliwa ya Urukaji wa Ndege ya Jeshi la Anga na Maonesho ya Urukaji wa Ndege ya Changchun 2025. |
Tarehe 16, Septemba, maandalizi ya Shughuli ya Kufunguliwa ya Urukaji wa Ndege ya Jeshi la Anga na Maonesho ya Urukaji wa Ndege ya Changchun 2025 yalifanyika huko Changchun, Mkoa wa Jilin wa China. Shughuli hiyo na maonesho hayo yatafunguliwa tarehe 19, Septemba.
(Wahariri wa tovuti:Shixi,Renato Lu)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma