99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Siku ya Uhuru yaadhimishwa mjini Pretoria, Afrika Kusini (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 29, 2024
Siku ya Uhuru yaadhimishwa mjini Pretoria, Afrika Kusini
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa akizungumza kwenye sherehe ya kuadhimisha Siku ya Uhuru katika Majengo ya Muungano mjini Pretoria, Afrika Kusini, Aprili 27, 2024. (Xinhua/Zhang Yudong)

Siku ya Uhuru, ambayo huadhimishwa Aprili 27 kila mwaka nchini Afrika Kusini, imepangwa kwa ajili ya kuadhimisha uchaguzi wa kwanza wa kidemokrasia nchini humo uliofanyika Aprili 27, Mwaka 1994, ambapo kuanzia siku hiyo, mtu yeyote mwenye sifa anaweza kupiga kura kuchagua viongozi bila kujali rangi yake.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Renato Lu)

Picha