

Lugha Nyingine
Kuzingatia afya ya macho katika siku ya kutunza macho (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 06, 2022
![]() |
Tarehe 5, Juni, mwanafunzi akipimwa uwezo wa macho kwenye duka la miwani la Wilaya ya Cengong ya Mkoa wa Guizhou. |
Tarehe 6, Juni ni siku ya kutunza macho ya kitaifa. Shughuli mbalimbali zimefanyika kwenye sehemu mbalimbali nchini China ili kueneza ujuzi wa kisayansi wa afya ya macho, na kuwawezesha watu kuongeza uelewa wa kutunza macho.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma