99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Bassirou Diomaye Faye aapishwa kuwa Rais mpya wa Senegal

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 03, 2024

Bassirou Diomaye Faye (kushoto), Rais mpya aliyechaguliwa wa Senegal, akiapishwa mjini Diamniadio, Senegal, Aprili 2, 2024. (Picha na Demba Gueye/Xinhua)

DAKAR - Bassirou Diomaye Faye, Rais mpya aliyechaguliwa wa Senegal, ameapishwa siku ya Jumanne mjini Diamniadio, umbali wa kilomita takribani 30 kutoka Dakar, mji mkuu wa Senegal, kuanza muhula wake wa kwanza wa kipindi cha miaka mitano.

Hafla ya kuapishwa kwake ilihudhuriwa na marais kadhaa kutoka nchi za kanda hiyo. "Pamoja na marais wenzangu wa Afrika, ninasisitiza ahadi ya Senegal katika kuimarisha juhudi za amani, usalama, utulivu na mafungamano ya Afrika," Faye amesema katika hotuba yake kwenye hafla hiyo.

Bassirou Diomaye Faye, Rais mpya aliyechaguliwa wa Senegal, akiwa kwenye hafla ya kuapishwa kwake mjini Diamniadio, Senegal, Aprili 2, 2024. (Picha na Demba Gueye/Xinhua)

Bassirou Diomaye Faye (Kati), Rais mpya aliyechaguliwa wa Senegal, akiapishwa mjini Diamniadio, Senegal, Aprili 2, 2024. (Picha na Demba Gueye/Xinhua)

Bassirou Diomaye akizungumza baada ya kuapishwa kwake kuwa Rais mpya wa Senegal mjini Diamniadio, Senegal, Aprili 2, 2024. (Picha na Demba Gueye/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha